Siku ya Wajinga

Momanyi, Clara

Description

Zito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia nikia kila kunapofanywa mtihani. Sikiza, anamwainbia rafiki yake Sadiki. Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa. Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu... Katika kazi yoyote ile utakayoajiriwa kufanya, utakuwa ukitutumikia sisi wajinga... Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani....
€ 20,60
Paperback / softback
 
Free shipping from
€ 19,95 within The Netherlands
Writer
Momanyi, Clara
Title
Siku ya Wajinga
Publisher
Phoenix Publishers
Year
2022
Language
Swahili
Pages
64
Weight
70 gr
EAN
9789966472397
Dimensions
124 x 178 x 6 mm
Binding format
Paperback / softback

You will always receive the last edition from us!


Categories

Boekstra